NAOT yaendesha Mafunzo ya Ukaguzi kwa "Tabora Press Club" lengo ni kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari kuandika taarifa za Ukaguzi wa CAG.
NAOT yaendesha Mafunzo ya Ukaguzi kwa “Tabora Press Club” yenye lengo la kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari kuandika taarifa za Ukaguzi wa CAG.
Mafunzo maalum ya Ukaguzi kwa yafanyika kwa "Tabora Press Club" kwa lengo la kuwajengea uwezo wa Waandishi wa Habari wa kuandika taarifa za Ukaguzi.