Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Taarifa yake Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022.