Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amezungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma kuhusiana na Ripoti Kuu za Ukaguzi wa Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2022/23.