Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere azungumza na Waajiriwa Wapya wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.