Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imeendesha mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Arusha. Mafunzo hayo yaliyohusisha Wanachama wa "Arusha Press Club" yamefanyika Jumatatu, Agosti 28, 2023 jijini Arusha.