Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa Gereza Kuu Isanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2023.