Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Taarifa Kuu ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).