Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Nuru Waziri Kindamba kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje.