Habari na Matangazo

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere Ahudhuria Uwasilishaji wa Ripoti za Ukaguzi wa Serikali Bungeni kwa Mwaka wa Fedha 2023/24.

Soma Zaidi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere Aongoza Kikao cha Wakaguzi wa NAOT Kutathmini Ukaguzi wa 2023/24 na Kuweka Mikakati ya Ukaguzi kwa 2024/25.

Ripoti Kuu za Ukaguzi wa Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 sasa Zinapatikana kwenye Tovuti Yetu.

Naibu Mkaguzi Mkuu Afungua Mafunzo ya Ukaguzi wa Ufanisi kwa Wakaguzi wa NAOT kwa Ushirikiano na Ofisi ya Ukaguzi ya Sweden.

NAOT na UDSM Waendesha Mafunzo Maalum kwa Wakaguzi wa Mashirika ya Umma Kuhusu Uziduaji wa Mafuta, Gesi na Madini.

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi tunawatakia watanzania wote kumbukizi njema ya Hayati Abeid Amani Karume.

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi tunawatakia watanzania wote kumbukizi njema ya Hayati Abeid Amani Karume "Daima tutakuenzi"

Soma Zaidi

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Inawatakia Salamu za Heri ya Eid kwa Waislamu na Watanzania Wote.

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inawatakia Waislamu na Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Eid.

Soma Zaidi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Ripoti ya Ukaguzi wa Serikali 2023/24 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Charles E. Kichere.