Habari na Matangazo

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Juma Selemani Mkomi amezindua Baraza Jipya la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Juma Selemani Mkomi amezindua Baraza Jipya la Wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi 

Soma Zaidi

National Audit Office of Tanzania Achieves Global Excellence with ISO 9001:2015 Certification.

National Audit Office of Tanzania Achieves Global Excellence with ISO 9001:2015 Certification.

Soma Zaidi

Heri ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Heri ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Soma Zaidi

Staff Member of the National Audit Office of Tanzania, Mr. Kahere has earned the Prestigious Second Place Worldwide in the Certified Ethical Hacker Master Examination conducted by the EC-Council.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Charles E. Kichere, anawatakia Watumishi na Wadau wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Krismasi Njema na Heri ya Mwaka Mpya 2024.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Charles E. Kichere, anawatakia Watumishi na Wadau wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Krismasi Njema na Heri ya Mwaka Mpya 2024.

Soma Zaidi

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akimkabidhi CAG, Bw. Charles E. Kichere cheti cha ushiriki wa Wiki ya Utoaji Huduma kwa Umma na Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi CAG Charles E. Kichere cheti cha ushiriki wa Wiki ya Utoaji Huduma kwa Umma na Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu.

Soma Zaidi

Maofisa kutoka Chuo Kikuu cha Ukaguzi cha Nanjing-China wakiongozwa na Prof. Weilong wamefanya mazungumzo na viongozi wa NAOT ili kujadili mikakati ya kuimarisha uhusiano baina ya Taasisi hizi mbili.

Maofisa watano kutoka Chuo Kikuu cha Ukaguzi cha Nanjing-China wamefanya mazungumzo na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Tanzania jijini Arusha kujadili mikakati ya kuimarisha uhusiano wa taasisi hizo…

Soma Zaidi

Happy Independence Day

Happy Independence Day

Soma Zaidi