Maofisa kutoka Chuo Kikuu cha Ukaguzi cha Nanjing-China wakiongozwa na Prof. Weilong wamefanya mazungumzo na viongozi wa NAOT ili kujadili mikakati ya kuimarisha uhusiano baina ya Taasisi hizi mbili.
Maofisa watano kutoka Chuo Kikuu cha Ukaguzi cha Nanjing-China wamefanya mazungumzo na viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Tanzania jijini Arusha kujadili mikakati ya kuimarisha uhusiano wa taasisi hizo…
Soma Zaidi