Habari na Matukio

Mwakilishi wa Balozi wa Sweden atembelea Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

Mwakilishi wa Balozi wa Sweden atembelea Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

Soma Zaidi

Ofisi ya Taifa ya ukaguzi yafanya kikao kazi na wadau mbalimbali wa sheria mkoani - Singida

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inaendesha kikao kikao kazi juu ya matumizi ya Nyaraka za Ukaguzi katika uchunguzi na uendeshaji wa mashauri Mahakamani yanayowashirikisha wataalamu kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi,…

Soma Zaidi

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Yafanya warsha ya siku mbili mkoani Morogoro

Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali  inaendesha warsha ya siku mbili (Februari 6-7,2020) kwa Wahariri wa vyombo vya Habari  na waandishi wa Habari  Mkoani Morogoro. Warsha…

Soma Zaidi

Washiriki wa Warsha wakimsikiliza Msemaji MKuu wa Serikali

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Msemaji MKuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi wakati akiwasilisha mada ya Wajibu wa Wanahabari katika kuandika ripoti katika warsha  iliyofanyika katika ofisi ya Taifa ya…

Soma Zaidi

Mafunzo ya ukaguzi wa miradi ya Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali yafunguliwa mkoani Singida

Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bi Wendy Massoy (mwenye  suti ya bluu katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya masuala ya ubia baina ya Serikali na Taasisi binafsi,mara…

Soma Zaidi

Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Watakiwa Kufanya Kazi kwa Bidii, Ueledi na Uadilifu

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali imempokea Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bwana Charles Edward Kichere ambaye anachukua nafasi ya Profesa Mussa Juma Assad aliyemaliza muda…

Soma Zaidi