Habari na Matukio

Heri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr.

Heri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr.

Soma Zaidi

Ushiriki wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwenye Michezo ya Mei Mosi, 2023 inayofanyika Mkoani Morogoro.

Ushiriki wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwenye Michezo ya Mei Mosi, 2023 inayofanyika Mkoani Morogoro.

Soma Zaidi

CAG, Bw. Charles E. Kichere amewahimiza Waajiriwa wapya kuzingatia maadili, uadilifu, umahiri pamoja na kutumia Teknolojia ya Kisasa ili kuboresha Kazi za Ukaguzi.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere akizungumza na Waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wakati alipozindua mafunzo ya awali ya ukaguzi kwa Waajiriwa hao…

Soma Zaidi

Heri ya Sikukuu ya Pasaka.

Heri ya Sikukuu ya Pasaka.

Soma Zaidi

Maadhisho ya Kumbumbuku ya Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume.

Maadhisho ya Kumbumbuku ya Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hayati Abeid Aman Karume.

Soma Zaidi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Taarifa yake ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Taarifa yake Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022.

Soma Zaidi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Taarifa Kuu ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kutoka kwa CAG, Bw. Charles E. Kichere.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Taarifa Kuu ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za…

Soma Zaidi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) asaini Taarifa Kuu ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) asaini Taarifa Kuu ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022.

Soma Zaidi