Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali akabidhi nafasi yake ya Ujumbe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) kwa nchi ya Chile, katika Ofisi ya UNBoA, New York, Marekani.