Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) imeendesha mafunzo kwa Wabunge, Wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za LAAC, Bajeti, PIC na PAC.