Habari na Matukio

Warsha ya mwaka ya Rasilimaliwatu (AFROSAI-E Annual HR Workshop) iliyoandaliwa na AFROSAI-E inafanyika kuanzia Septemba 19-23, 2022 jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Warsha ya mwaka ya Rasilimaliwatu (AFROSAI-E Annual HR Workshop) iliyoandaliwa na AFROSAI-E inafanyika kuanzia Septemba 19-23, 2022 jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Soma Zaidi

Karibu ufatilie kurasa zetu za mitandao ya kijamii ya Twitter, Facebook, Instagram na YouTube kupitia @ukaguzitanzania

Karibu ufatilie kurasa zetu za mitandao ya kijamii ya Twitter, Facebook, Instagram na YouTube kupitia @ukaguzitanzania

Soma Zaidi

Watumishi NAOT kutoka Divisheni mbalimbali wakabidhiwa Tuzo ya CAG ya Ripoti Bora ya Ukaguzi kwa mwaka wa Fedha 2020/2021.

Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Salhina Mkumba (watatu kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa NAOT kutoka Divisheni mbalimbali ambao wameshinda Tuzo ya CAG ya Ripoti Bora…

Soma Zaidi

Mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo Wasaidizi wa Mkaguzi Mkuu na Wakaguzi Wakuu wa Nje yaliyoandaliwa na Bodi na Taasisi ya Ukaguzi wa Mafunzo ya Korea Kusini (AITI na BAI) kwa ushirikiano na NAOT.

Naibu Mkaguzi Mkuu, Bw. George Haule (kulia) akikabidhi kwa niaba ya CAG cheti cha kuhitimu mafunzo, kwa Bw. Isaya Jeremia wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wa mbinu za ukaguzi, Wasaidizi wa…

Soma Zaidi

Heri ya Sikukuu ya Wakulima 8/8

Heri ya Sikukuu ya Wakulima 8/8

Soma Zaidi

TANZIA

TANZIA

Soma Zaidi

OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YATOA MSAADA KWA KITUO CHA KULEA WATOTO CHA KIJIJI CHA MATUMAINI DODOMA

OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YATOA MSAADA KWA KITUO CHA KULEA WATOTO CHA KIJIJI CHA MATUMAINI DODOMAWafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) wamekabidhi msaada kwa kituo cha watoto yatima kilichopo Kijiji…

Soma Zaidi

WAFANYAKAZI WASTAAFU WAAGWA HUKU WAFANYAKAZI BORA NA HODARI WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAO

WAFANYAKAZI WASTAAFU WAAGWA HUKU WAFANYAKAZI BORA NA HODARI WAKIKABIDHIWA ZAWADI ZAOMenejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) imefanya hafla ya kuwaaga Watumishi waliostaafu pamoja na kukabidhi zawadi…

Soma Zaidi