Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Yakamilisha Zoezi la Kukusanya Maoni ya Wadau Kuhusu Mpango Mkakati Wake
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imekamilisha zoezi la kushirikisha wadau wake katika kutoa maoni kuhusu mabadiliko ya vipaumbele katika Mpango Mkakati wake wa mwaka 2016/17 hadi 2020/21. Akizungumza baada ya…
Soma Zaidi