Habari na Matukio

Washiriki wa Warsha wakimsikiliza Msemaji MKuu wa Serikali

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Msemaji MKuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi wakati akiwasilisha mada ya Wajibu wa Wanahabari katika kuandika ripoti katika warsha  iliyofanyika katika ofisi ya Taifa ya…

Soma Zaidi

Mafunzo ya ukaguzi wa miradi ya Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali yafunguliwa mkoani Singida

Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bi Wendy Massoy (mwenye  suti ya bluu katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya masuala ya ubia baina ya Serikali na Taasisi binafsi,mara…

Soma Zaidi

Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Watakiwa Kufanya Kazi kwa Bidii, Ueledi na Uadilifu

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali imempokea Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bwana Charles Edward Kichere ambaye anachukua nafasi ya Profesa Mussa Juma Assad aliyemaliza muda…

Soma Zaidi

Ufunguzi warsha ya Toleo Maalumu la Mwananchi la Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

Mkaguzi Mkuu wa Ndani katika Mkoa wa Mbeya Bwana Exaud Nitukusya (aliyesimama) akiwa pamoja na Bwana Frank (Kushoto) na Bibi Happy Severine  (Kulia) wakati wa ufunguzi wa  warsha ya siku tatu ya…

Soma Zaidi