QR Code: QyXDxrHOCM
Ripoti hii inatoa muhtasari wa matokeo ya kaguzi 18 za ukaguzi wa ufanisi zilizofanyika mwaka 2025, zikijikita katika uchumi, ufanisi, na tija ya utoaji wa huduma kwa umma. Kaguzi hizo zilihusu sekta muhimu kama vile afya, elimu, huduma za maji, usafiri, usimamizi wa mazingira, ulinzi wa jamii, na utawala wa rasilimali asilia, zikibaini mapungufu ya kimfumo na kupendekeza maboresho kwa ajili ya kuimarisha matokeo ya utoaji wa huduma.
0 Maoni