QR Code: FoZ5I9H0ra
Ripoti hii inawasilisha matokeo ya kaguzi 225 za Mashirika ya Umma na Taasisi Zingine. Inajikita katika taarifa za kifedha, udhibiti wa ndani, utendaji wa shughuli, na uzingatiaji wa matakwa ya kisheria. Ripoti inaonesha masuala yanayohusu uendelevu wa kifedha, ufanisi wa shughuli, na utawala katika sekta mbalimbali zikiwemo mashirika ya umma ya kibiashara, mamlaka za udhibiti, mamlaka za maji, taasisi za elimu ya juu, mifuko ya hifadhi ya jamii, na sekta ya uziduaji.
0 Maoni