Mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo Wasaidizi wa Mkaguzi Mkuu na Wakaguzi Wakuu wa Nje yaliyoandaliwa na Bodi na Taasisi ya Ukaguzi wa Mafunzo ya Korea Kusini (AITI na BAI) kwa ushirikiano na NAOT.
Naibu Mkaguzi Mkuu, Bw. George Haule (kulia) akikabidhi kwa niaba ya CAG cheti cha kuhitimu mafunzo, kwa Bw. Isaya Jeremia wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wa mbinu za ukaguzi, Wasaidizi wa…
Soma Zaidi