Habari na Matangazo

Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi jijini Dodoma wameshiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi kwa mwaka 2024 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi jijini Dodoma wameshiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi kwa mwaka 2024 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Soma Zaidi

Heri ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani - Mei Mosi 2024.

Heri ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani - Mei Mosi 2024.

Soma Zaidi

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy amefunga mafunzo kwa Wakaguzi wa Ufanisi kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda.

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy amefunga mafunzo kwa Wakaguzi wa Ufanisi kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda. Wawezeshaji wa mafunzo hayo Ofisi ya Taifa ya…

Soma Zaidi

Heri ya Miaka 60 ya Muungano.

Heri ya Miaka 60 ya Muungano.

Soma Zaidi

Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Bw. Novati Mfalamagoha, amemwakilisha CAG kwenye kufungua mafunzo kwa Wakaguzi wa Ufanisi kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda.

Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Bw. Novati Mfalamagoha, amemwakilisha CAG kwenye kufungua mafunzo kwa Wakaguzi wa Ufanisi kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda. Mafunzo hayo…

Soma Zaidi

Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1964 - 2024.

Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1964 - 2024.

Soma Zaidi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la JP Magufuli lenye Urefu wa Km 3.2 (Kigongo -Busisi), Mwanza.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la JP Magufuli lenye Urefu wa Km 3.2 (Kigongo -Busisi) mkoani Mwanza.…

Soma Zaidi

Rais wa Mahakama ya Ukaguzi wa Hesabu ya Ufalme wa Saudi Arabia, Dkt. Husam Alangari na Ujumbe wake wamefanya ziara kwenye Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi jijini Dar es Salaam.

Rais wa Mahakama ya Ukaguzi wa Hesabu ya Ufalme wa Saudi Arabia, Dkt. Husam Alangari na Ujumbe wake wamefanya ziara kwenye Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Tanzania (NAOT) ambapo wamepata fursa ya kufanya kikao…

Soma Zaidi