QR Code: U9MoG2buce

Ripoti hii inaelezea matokeo muhimu ya kaguzi 57 za mifumo ya tehama. Kaguzi 35 zilifanyika sambamba na kaguzi za kifedha, huku kaguzi 22 zilizobaki zikihusisha mifumo ya tehama pekee. 

Ripoti ililenga katika kutathmini udhibiti, ufanisi wa usimamizi wa miradi ya mifumo ya tehama, pamoja na utendaji na ufanisi wa mifumo hiyo.