QR Code: OauV1ZDTyc

Ripoti hii inatoa matokeo ya aina tatu za kaguzi zilizofanywa kwenye miradi ya maendeleo: kaguzi za kifedha, kaguzi za utiifu na kaguzi za kiufundi. Ripoti 299 za kaguzi wa kifedha zilitolewa, zikilenga mifumo ya kifedha, udhibiti, na utoaji wa taarifa. Aidha, kaguzi 12 wa kiufundi zilifanyika kwenye miradi ya ujenzi katika sekta mbalimbali, zikiangazia mipango, ununuzi, na usimamizi wa mikataba.