Report Reference Number: Ripoti/Ufanisi/2020/21

QR Code: FrRhsN0o39

Taarifa hii ya jumla ya ukaguzi inaelezea mapungufu ya jumla yaliyobainika, mahitimisho, pamoja na mapendekezo katika ripoti 12 za ukaguzi wa ufanisi zilizofanyika kwa Mwaka wa Fedha wa 2021/22. Ripoti hizo 12 zilihusu uendelezaji; Usimamizi wa Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kwa Fedha za Mikopo; Ukarabati wa Barabara unaotekelezwa na Wakala wa Barabara Tanzania (nchini; Upangaji na Utoaji wa Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu; Usimamizi wa Makumbusho ya Taifa na Maeneo ya Urithi wa Utamaduni na Malikale; Utaratibu wa Ukusanyaji wa Mapato kwenye Sekta ya Madini; Usimamizi na Utoaji wa Huduma za Miundombinu ya Mahabusu na Magereza; Usimamizi wa Usajili wa Biashara na Utoaji wa Leseni; Usimamizi  wa Mifumo ya Ikolojia ya Ardhioevu (Wetlands); Mfumo wa Haki-Jinai Tanzania; Utoaji wa Fedha na Usimamizi wa Mifuko na Programu za Serikali za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi; na Utekelezaji wa Shughuli za Udhibiti wa Vipimo.TANROADS); Uendelezaji na Utangazaji wa Sekta ya Utalii