Habari na Matukio

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imeendesha mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Arusha. Mafunzo hayo yaliyohusisha Wanachama wa “Arusha Press Club” yamefanyika Jumatatu, Agosti 28, 2023 jijini Arusha.

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imeendesha mafunzo kwa Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Arusha. Mafunzo hayo yaliyohusisha Wanachama wa "Arusha Press Club" yamefanyika Jumatatu, Agosti 28, 2023 jijini Arusha.

Soma Zaidi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefungua mafunzo kuhusu uchakataji wa data kwa kutumia programu ya Excel.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefungua mafunzo kwa ajili ya Wakaguzi wa Ufanisi (Performance Auditors) kuhusu uchakataji wa data kwa kutumia programu ya Excel.

Soma Zaidi

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa Gereza Kuu Isanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2023.

 Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa Gereza Kuu Isanga ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2023.

Soma Zaidi

Maofisa wa Shirika la Fedha la Kimataifa la (IMF) kutoka Washington, D.C. Marekani wamekutana na Viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi nakujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano.

Maofisa wa Shirika la Fedha la Kimataifa la (IMF) kutoka Washington, D.C. Marekani wamekutana na Viongozi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi ambapo pamoja na masuala mengine wamejadiliana kuhusu maeneo ya…

Soma Zaidi

Njia rasmi za kuwasilisha maoni, mapendekezo au malalamiko Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.

Njia rasmi za kuwasilisha maoni, mapendekezo au malalamiko Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.

Soma Zaidi

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy amefungua mafunzo kwa Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kuhusiana na “Risk Management and Compliance”.

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi. Wendy Massoy amefungua mafunzo kwa Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kuhusiana na masuala ya udhibiti wa vihatarishi (risk management and…

Soma Zaidi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefanya Mkutano na Taasisi Binafsi za Ukaguzi jijini Dodoma siku ya Ijumaa Julai 14, 2023.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles E. Kichere amefanya Mkutano na  Taasisi Binafsi za Ukaguzi  jijini Dodoma siku ya Ijumaa Julai 14, 2023.

Soma Zaidi

Heri ya Sikukuu ya SabaSaba 2023.

Heri ya Sikukuu ya SabaSaba 2023

Soma Zaidi