Habari na Matukio

CAG Charles Kichere akabidhiwa ofisi

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bwana Charles Kichere amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa J. Assad ambaye amemaliza muda…

Soma Zaidi

Washiriki wa Warsha ya siku tatu ya Toleo la Ripoti Maalumu ya Mwananchi

Mkaguzi Mkuu wa Nje katika katika Ofisi ya CAG  Mkoa wa Mbeya Bwana Exaud Nitukusya (katikati) akiwa na Watumishi wenzake na washiriki kutoka Asasi zisizo za Kiserikali na Wanahabari wakati wa ufunguzi…

Soma Zaidi

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Yakamilisha Zoezi la Kukusanya Maoni ya Wadau Kuhusu Mpango Mkakati Wake

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi imekamilisha zoezi la kushirikisha wadau wake katika kutoa maoni kuhusu mabadiliko ya vipaumbele katika Mpango Mkakati wake wa mwaka 2016/17 hadi 2020/21. Akizungumza baada ya…

Soma Zaidi

Ofisi ya CAG yafanya kongamano la siku mbili mjini Bagamoyo

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali imefanya kongamano la siku mbili kwa vyombo vinavyohusu matumizi ya taarifa za ukaguzi wa uchunguzi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa shughuli za mradi wa…

Soma Zaidi

Maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma 16-23/6/2014

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ikiwa kama ofisi zingine za umma inatarajia kushiriki katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 16/6/2014 hadi tarehe 23/6/2014…

Soma Zaidi

CAG AWASILISHA RIPOTI ZA UKAGUZI ZA MWAKA 2012/13 KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh amewasilisha ripoti  za ukaguzi wa hesabu za serikali  za mwaka wa fedha 2012/13 kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

Soma Zaidi

CAG ahutubia mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali mjini Dodoma

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Ludovick Utouh ameishauri Serikali kuangalia upya  vyanzo vya mapato na matumizi ya fedha za Serikali kwa kuwa ni dhahiri  hali ya fedha si nzuri…

Soma Zaidi

NAOT yashirikiana na CCAF kuandaa mafunzo kwa kamati za Bunge za hesabu za Serikali LAAC na PAC

Mwenyekiti wa kamati ya Usimamizi wa Mahesabu za Canada (CCAF) ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Columbia, Bruce Ralston, amesema Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na ile ya Kamati za Hesabu za…

Soma Zaidi